Friday, October 9, 2026
MEYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIBAHA DK NICAS MAWAZO AMEKIPONGEZA KIWANDA CHA U-FRESH KWA KUTOA MABATI 500 KWA SEKONDARI YA MWAMBISI
KIWANDA CHA QOUNQUER KUTOA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI WA BWENI MWAMBISI SEKONDARI
Thursday, October 8, 2026
MEYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIBAHA DK NICAS MAWAZO ATAKA UJENZI SOKO LA KISASA LA LOLIONDO UKAMILIKE KWA WAKATI
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kibaha imemtaka Mkandarasi wa ujenzi wa soko la Loliondo kukamilisha ujenzi huo kwa wakati ili wafanyabiashara waweze kufanya biashara zao kwenye mazingira mazuri.
MZABUNI WA USAFI SOKO LA LOLIONDO APEWA SIKU TATU SOKO LISIWE NA UCHAFU
Agizo hilo limetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kibaha Dk Nicas Mawazo alipotembelea soko hilo kusikiliza kero na changamoto za soko na kuzitatua.
KIWANDA KUONDOA KEMIKALI ILIYOSAMBAA KWENYE MAKAZI YA WATU
KIWANDA cha Lake chakubali kuondoa mabaki ya kemikali ya salfa inayolalamikiwa na wananchi kuleta athari za kiafya eneo la Matunda Mtaa wa Lulanzi Kata ya Picha ya Ndege Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha.
Naye Frida Kitundu amesema kuwa hivi karibuni kiwanda hicho kilitoa kemikali hiyo lakini hawakuimaliza kwani ilikuwa nyingi sana na hutiririka hasa kipindi cha mvua na ni changamoto hasa kwa watoto ambao hucheza bila ya tahadhari.
Wednesday, October 7, 2026
KEDS YAPONGEZWA YATAKIWA KUSAFISHA MTARO SEHEMU ILIYOBAKI ILI KUKABILIANA NA MVUA ZA ELNINO
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kibaha imekipongeza kiwanda cha KEDS kikichopo Picha ya Ndege kwa kutekeleza agizo la kusafisha mtaro wa maji yanayotoka kiwandani hapo na kuondoa kero ya majitaka kwenda kwenye makazi ya watu.
MEYA DK MAWAZO ATOA SIKU SABA KIWANDA KUACHA KUTIRIRISHA MAJI MACHAFU KWENYE MAKAZI YA WATU
MSTAHIKI meya wa Manispaa ya Kibaha Dk Nicas Mawazo ametoa siku Saba Kwa kiwanda Cha Cordy kuhakikisha kinasitisha kutiririsha maji machafu kwenye makazi ya watu.






