MBUNGE wa Jimbo la Bagamoyo Muharami Shabani Mkenge, Leo tarehe 5 mwezi wa 9 alipata wasaa wa kuwa na mazungumzo na Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati Mhe Dotto Biteko, pamoja na waziri wa maliasili mstaafu wa Kenya Mhe Najib Balala ofisini kwa Naibu waziri mkuu
Wakijadili uwekezaji katika sekta ya chumvi, pamoja na upatikanaji wa umeme wa uhakika katika Jimbo la Bagamoyo.
IMETOLEWA NA OFISI YA MBUNGE JIMBO LA BAGAMOYO🇹🇿
No comments:
Post a Comment