Na Wellu Mtaki,Dodoma.
Wednesday, August 7, 2024
BRELA YAZUIYA KUTAPELIWA KWA WATEJA
Tuesday, August 6, 2024
MSONGO WA MAWAZO HUSABABISHA MAZIWA YA AKINAMAMA WANAONYONYESHA YASITOKE
IMEELEZWA kuwa moja ya sababu zinazosababisha maziwa ya akinamama wanaonyonyesha kushindwa kutoka ni msongo wa mawazo.
Aidha wanaume ambao wake zao wananyonyesha wameshsuriwa wasiwaudhi wake zao ili wasisababishe maziwa yashindwe kutoka na kushindwa kunyonyesha watoto wao.
TEAC IMELENGA KUSAIDIA MKULIMA NA MFUGAJI.
Na Wellu Mtaki, Dodoma.
Mkuu wa Kanda ya kati ya Tume ya Nguvu za Atom Tanzania ( TEAC ) Machibya Anthony Matulanya amesema kuwa Tume imelenga kusaidia wakulima na wafugaji kupata mavuno makubwa ambayo yataongeza pato la uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja .
Hayo ameyasema Leo Tarehe 5 Agost 2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari Katika Banda la Tume ya Nguvu za Atom Tanzania Katika viwanja vya nanenane Zuguni jijini Dodoma huku akiwasihi wananchi kutembelea Banda ilo Ili kujifunza mambo mbalimbali yatakayokuza na kuboresha kilimo na ufugaji.
Adha amesema kuwa Tume inajishughulisha na swala la uhamasishaji wa Matumizi ya Nuclear nchini ambayo inalenga kuhakikisha teknologia ya nuclear inakunza uchumi wa nchi.
"Tume ya nguvu za Atom Tanzania zinajishughulisha na swala la uhamasishaji ya matumizi Nuclear nchini lakini kwa usalama ambapo wanalenga kuhakikisha kwamba teknologia ya Nuclear nchini inatumika vizuri na inakuza uchumi wa nchi." Amesema Matulanya
Pia meeleza kuwa teknologia ya nuclear imeweza kutumika kuangamiza wadudu aina ya Mbung'o ambao wanang'ata Mifugo na kusababusha Hali ya upungufu wa Maziwa kwa ng'ombe pamoja na kukosa nyama iliyo Bora.
"Kwa upande wamifugoTeknologia ya Nuclear imetumika imeangamiza wadudu aina ya Mbung'o , Mb'ung'o ni wadudu atali ambao wanang'ata Mifugo
Hawa wadudu waking'ata kwa mfano Ng'ombe wanamsababishia Hali ya upungufu wa Maziwa na pia uwezi kupata nyama nzuri" amesema Matulanya.
Mayulanya amesema kuwa zipo mbegu Bora za Mpunga ambazo zinatumika Tanzania bara na nzazibar ambazo zinauwezo Mkubwa wa kuimili ukame na ahitaji maji Mengi katika kuzalisha na unafanya mmea usivunjike .
"Pia kwa upande wa kilimo teknologia ya Nuclear imetumiaka huko nzazibar na bara, mbegu ya mpunga aina ya super DC ambayo inatumika Mbegu hizi ambazo zimeboreshwa uwezo Mkubwa wa kuimili ukame ambayo mbegu hiyo ukiilima aitaji maji Mengi Katika kutoa matunda yake" Amesema Matulanya
"Baada ya kuboreshwa mbengu hiyo imekuwa na stimilivu na yenye kutoa faida kubwa kwa mkulima pamoja na mmea kustaimili usivunjike na huo mpunga baada ya kuuvuna na kuukoboa unakuwa mtamu" Amesema Matulanya
Ikumbukwe kuwa Tume ya Atom Tanzania inajishughulisha na swala la uhamasishaji ya matumizi Nuclear nchini lakini kwa usalama.
TEAC IMELENGA KUSAIDIA MKULIMA NA MFUGAJI.
Na Wellu Mtaki, Dodoma.
Mkuu wa Kanda ya kati ya Tume ya Nguvu za Atom Tanzania ( TEAC ) Machibya Anthony Matulanya amesema kuwa Tume imelenga kusaidia wakulima na wafugaji kupata mavuno makubwa ambayo yataongeza pato la uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja.
Hayo ameyasema Leo Tarehe 5 Agost 2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari Katika Banda la Tume ya Nguvu za Atom Tanzania Katika viwanja vya nanenane Zuguni jijini Dodoma huku akiwasihi wananchi kutembelea Banda ilo Ili kujifunza mambo mbalimbali yatakayokuza na kuboresha kilimo na ufugaji.
Adha amesema kuwa Tume inajishughulisha na swala la uhamasishaji wa Matumizi ya Nuclear nchini ambayo inalenga kuhakikisha teknolojia ya nuclear inakunza uchumi wa nchi.
"Tume ya nguvu za Atom Tanzania zinajishughulisha na swala la uhamasishaji ya matumizi Nuclear nchini lakini kwa usalama ambapo wanalenga kuhakikisha kwamba teknologia ya Nuclear nchini inatumika vizuri na inakuza uchumi wa nchi." Amesema Matulanya.
Pia meeleza kuwa teknologia ya nuclear imeweza kutumika kuangamiza wadudu aina ya Mbung'o ambao wanang'ata Mifugo na kusababusha Hali ya upungufu wa Maziwa kwa ng'ombe pamoja na kukosa nyama iliyo Bora.
"Kwa upande wamifugoTeknologia ya Nuclear imetumika imeangamiza wadudu aina ya Mbung'o , Mb'ung'o ni wadudu atali ambao wanang'ata Mifugo
Hawa wadudu waking'ata kwa mfano Ng'ombe wanamsababishia Hali ya upungufu wa Maziwa na pia uwezi kupata nyama nzuri" amesema Matulanya.
Mayulanya amesema kuwa zipo mbegu Bora za Mpunga ambazo zinatumika Tanzania bara na nzazibar ambazo zinauwezo Mkubwa wa kuimili ukame na ahitaji maji Mengi katika kuzalisha na unafanya mmea usivunjike .
"Pia kwa upande wa kilimo teknologia ya Nuclear imetumiaka huko nzazibar na bara, mbegu ya mpunga aina ya super DC ambayo inatumika Mbegu hizi ambazo zimeboreshwa uwezo Mkubwa wa kuimili ukame ambayo mbegu hiyo ukiilima aitaji maji Mengi Katika kutoa matunda yake" Amesema Matulanya
"Baada ya kuboreshwa mbengu hiyo imekuwa na stimilivu na yenye kutoa faida kubwa kwa mkulima pamoja na mmea kustaimili usivunjike na huo mpunga baada ya kuuvuna na kuukoboa unakuwa mtamu" Amesema Matulanya
Ikumbukwe kuwa Tume ya Atom Tanzania inajishughulisha na swala la uhamasishaji ya matumizi Nuclear nchini lakini kwa usalama.
Monday, August 5, 2024
BRELA KUANZA KUSAJILI WAKULIMA
Na Wellu Mtaki, Dodoma
OFISA Usajili wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Gabriel Gilangay amesema wakala huo umejipanga kuanza kuwasajili Wakulima kwa kuwapa nembo ambayo itawatambulisha kibiashara.
Gilangay amesema hayo Jijini Dodoma kwenye maonesho ya Wakulima Nanenane wakati akizungumza na Waandishi wa habari na kueleza kuwa Wakala huo unashughulikia mambo mengi kwa wakulima nchini ikiwemo usajili wa Biashara.
Mbali na hayo amesema BRELA hutoa huduma hizo ili kuhakikisha biashara za kilimo zinakubalika kisheria ikiwa ni pamoja na kutoa huduma za ushauri kuhusu jinsi ya kufuata taratibu za kisheria katika biashara ya kilimo, ikiwa ni pamoja na kanuni za usajili, sheria za biashara, na masharti ya leseni.
Kwa upande mwingine Wakala huo hushughulikia Kampuni za Umma,Kampuni zinazoshiriki soko la hisa,Kampuni za Kibinafsi na Kampuni zinazomilikiwa na watu wachache.
TIMU ZA UMISSETA NA UMITASHUMTA MKOA WA PWANI ZAKABIDHI VIKOMBE
TIMU za Umoja wa Michezo na Sanaa kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) na Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) za Mkoa wa Pwani zimekabidhi makombe ilivyoshinda kwenye mashindano ambayo yaliyomalizika Mkoani Tabora hivi karibuni.