Monday, September 4, 2023

MWENYEKITI (JWT) TAIFA MKOANI NJOMBE

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa anasaini Kitabu Cha Wageni Katika Ofisi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Leo September 4,2023.

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA ATUA MKOANI NJOMBE

Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania  Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Sifaeli Msigala Leo September 4, 2023.

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA AKIWA MKOANI NJOMBE

Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania  Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe   Sifaeli Msigala Leo September 4, 2023.

MWENYEKITI (JWT) TAIFA ATEMBELEA MKOA WA NJOMBE

Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania  Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe   Sifaeli Msigala Leo Septemba 4, 2023.

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA AKUTANA NA UONGOZI MKOA WA IRINGA

Picha ikimuonesha Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akizungumza na uongozi wa jumuiya ya Makambako mkoani Iringa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya jumuiya leo Septemba 4, 2023.

Sunday, September 3, 2023

REHEMA KAWAMBWA ATEULIWA UJUMBE SOKA LA WANAWAKE COREFA

REHEMA KAWAMBWA ameteuliwa kushika nafasi ya ujumbe kamati tendaji ya chama cha mpira wa miguu mkoa wa pwani(corefa) kuwakilisha soka la wanawake ya muda kusubiri uchaguzi baada ya mjumbe aliyekuwa anashika nafasi hiyo Faraja Makale  kujiuzulu.