Mtumishi wa Mungu wa kituo cha maombezi cha Gombo Gambusi kilichopo Kibamba kwa Waitara Mwalimu Allister Albano akiwa anahubiri kituoni hapo Jumapili hii. |
Mtumishi wa Mungu Mwalimu Allister Albano kushoto akiwa na mkewe wakifanya maombi kwa waumini kituoni hapo Jumapili hii |
Mtumishi wa Mungu Mwalimu Allister Albano kushoto akimwombea mgonjwa wakati wa ibada iliyofanyika kituoni hapo Jumapili hii |
Baadhi ya waumini wakiwa kwenye maombi kwenye ibaada iliyofanyika Jumapili hii |
Baadhi ya waumini wakiwa wanafanyiwa maombi na mtumishi wa Mungu Mwalimu Allister Albano |
Mmoja ya waumini akiwa ameanguka chini baada ya kufanyiwa maombi kwenye ibaada ya Jumapili iliyofanyika kituoni hapo |
Waumini wa kituo hicho wakiwa wanamsikiliza Mwalimu Allister Albano wa kituo hicho hayupo pichani alipokuwa akihubiri Jumapili hii |
Waumini wakiwa wanaomba wakati wa ibaada hiyo Jumapili hii. |
No comments:
Post a Comment