mkurugenzi wa benki ya wanawake Tanzania Margareth Chacha katikati akionyesha hati ya busajili ya chama hicho kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho Mwamvua Mwinyi na kulia mlezi wa chama Selina Koka. |
mkurugenzi wa benki ya wanawake Tanzania Margareth Chacha katikati akiongea wakati wa uzinduzi wa chama cha waandishi wa wanawake mkoani Pwani |
mkurugenzi wa benki ya wanawake Tanzania Margareth Chacha akikata keki wakati wa uzinduzi wa chama cha waandishi wa habari wanawake mkoa wa Pwani |
moja ya wadau wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Pwani akiongea kwenye uzinduzi wa chama hicho uliofanyika mjini Kibaha. |
moja ya waandishi wa habari ambaye alikuwepo kwenye uzinduzi wa chama cha wandishi wa habari wanawake mkoani Pwani akichangia hoja |
picha ikiwaonyesha viongozi na wadau wa chama cha waandishi wa habari wanawake mkoani Pwani wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa chama hicho |
wadau wa chama cha waandishi wa habari wanawake mkoa wa Pwani wakiongea na mgeni rasmi wa uzinduzi wa chama hicho Margareth Chacha |
wadau wa chama cha waandishi wa habari wanawake mkoa wa Pwani wakibadilishana mawazo mara baada ya uzinduzi wa chama hicho. |
No comments:
Post a Comment