Picha ikiwaonesha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania Abdalla Salim wakisalimiana na Katibu wa Wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Edison Gadau Leo September 4,2023.
Monday, September 4, 2023
UONGOZI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WAINGIA MKOANI NJOMBE
Picha ikimuonesha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania Abdalla Salim akiwa anasaini Kitabu Cha wageni Katika Ofisi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako mkoani Njombe Leo September 4,2023.
MWENYEKITI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA AKUTANA NA UONGOZI MKOA WA NJOMBE
Picha ikimuonesha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Jumuiya Leo September 4, 2023.
MWENYEKITI (JWT) TAIFA MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa anasaini Kitabu Cha Wageni Katika Ofisi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Leo September 4,2023.
MWENYEKITI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA ATUA MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Sifaeli Msigala Leo September 4, 2023.

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA AKIWA MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Sifaeli Msigala Leo September 4, 2023.