Picha ikimuonesha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Jumuiya Leo September 4, 2023.
Monday, September 4, 2023
MWENYEKITI (JWT) TAIFA MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa anasaini Kitabu Cha Wageni Katika Ofisi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Leo September 4,2023.
MWENYEKITI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA ATUA MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Sifaeli Msigala Leo September 4, 2023.

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA AKIWA MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Sifaeli Msigala Leo September 4, 2023.
MWENYEKITI (JWT) TAIFA ATEMBELEA MKOA WA NJOMBE
Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Mkoani Njombe Sifaeli Msigala Leo Septemba 4, 2023.
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA AKUTANA NA UONGOZI MKOA WA IRINGA
Picha ikimuonesha Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Hamis Livembe akizungumza na uongozi wa jumuiya ya Makambako mkoani Iringa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya jumuiya leo Septemba 4, 2023.