BRAILO MEDIA
HABARI ZETU
Wednesday, November 11, 2026
REMNANT YAICHAPA KIBAHA MC 2-0
REMNANT FC ya Machinjioni imeifunga timu ya Manispaa ya Kibaha bao 2-0 kwenye mashindano ya Machinjioni Super Cup Season 1.
Mashindano hayo yanafanyika kwenye uwanja wa Bwawani Maili Moja Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.
No comments:
Post a Comment
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment