Wabunge Abou Jumaa kushoto na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete wakiwa wanasikiliza jambo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Umeme Vijijini REA Mkoa wa Pwani awamu ya tatu |
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo aliyebeba udongo kwa ajili ya kuweka kwenye nguzo ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa REA awamu ya tatu mkoa wa Pwani kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete
|
Mkurugenzi wa REA Injinia Gisima Nyamo-Hanga akizungumza wakati wa uzinduzi huo |
Kushoto mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo akiongea huku Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akimsikiliza wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Umememe Vijijini REA awamu ya tatu mkoani Pwani kwenye kitongoji cha Msufini wilayani Kibaha |
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wa kwanza kushoto mbele ya mafundi wa kampuni ya Tunisia ya Steg International Services ambao ndiyo watakaoendesha mradi huo.
|
Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa mradi wa umeme vijijini |
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo aliyeshika mkasi kwa ajili ya kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa REA mkoa wa Pwani kushoto ni mkuu wa mkoa wa Pwani injinia Evarist Ndikilo na kulia ni Mbunge wa Jimbo la Kibaha vijijini Abou Jumaa akifuatiwa na Mkurugenzi wa REA Injinia Gisima Nyamo-Hanga |
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa Umeme Vijijini REA mkoa wa Pwani kulia ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na kushoto Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini Abou Jumaa |
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mradi wa REA mkoa wa Pwani kulia ni mkuu wa mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo kushoto mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini Abou Jumaa anayefuatia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete |
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo katikati akikabidhiwa mbuzi na baaadhi ya wakazi wa mkoa wa Pwani, kulia ni mkuu wa mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo na kushoto ni mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini Abou Jumaa |
No comments:
Post a Comment