Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakimskiliza mgomea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM John Magufuli kwenye uwanja wa shule ya msingi Majengo Bagamyo. |
Mkuu wa mkoa wa Tanga mwenye miwani Mwantumu Mahiza akielekeza jambo wakati wa kumsubiri mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk John Magufuli kwenye kijiji cha Mbwewe wilayani Bagamoyo |
Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango |
Mgombe urais wa CCM Dk John Magufuli kulia akitete jambo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ambaye pia ni mgombe Ubunge Jimbo la Bagamoyo Dk Shukuru Kawambwa |
Aliyekuwa mgombea Ubunge kura za maoni wa CCM Jimbo la Bagamoyo Abdul Sharif kulia akiwa amepozi kushoto ni Dk zainab Gama katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Pwani |
Abdala Bulembo mjumbe wa kampeni wa CCM Taifa akionyesha mfano wa fomu ya kupigia kura |
Mgombea Urais wa CCM Dk John Mgafuli akiongea na wananchi wa Bagamoyo waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Majengo |
Wananchi wakiinua mikono juu kumuunga mkono mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk John Magufuli |
Wananchi wakimshangilia mgombea Urais Dk John Magufuli |
Mgombea Urasi Dk John Magufuli kushoto akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika bagamoyo |
Dk John Magafuli kulia mgombea Urais CCM akimtambulisha mgombea Ubunge Jimbo la Bagamoyo Dk Shukuru Kawambwa |
Baadhi ya madiwani wa wilaya ya Bagamoyo |
Mgombea Ubunge kupitia Umoja wa Wanawake UWT mkoa wa Pwani Subira Mgalu kulia akitambulishw ana mgombea Urais CCM Dk John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Bagamoyo. |
No comments:
Post a Comment